Psalms 100:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni mwema; fadhili zake zadumu milele, na uaminifu wake katika vizazi vyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Mwenyezi Mungu ni mwema na fadhili zake zadumu milele; uaminifu wake unadumu kwa vizazi vyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni mwema; fadhili zake zadumu milele, na uaminifu wake katika vizazi vyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana BWANA ni mwema na upendo wake wadumu milele; uaminifu wake unadumu kwa vizazi vyote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana bwana ni mwema na upendo wake wadumu milele; uaminifu wake unadumu kwa vizazi vyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana BWANA ni mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake katika vizazi vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni mwema; fadhili zake zadumu milele, na uaminifu wake katika vizazi vyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana ni mwema, nao upole wake ni wa kale na kale, nao welekevu wake ni wa vizazi na vizazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni muzuri! Wema wake unadumu milele, na uaminifu wake kwa vizazi vyote.