Psalms 101:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi) Utenzi wangu kuhusu uaminifu na haki; ninauimba kwa heshima yako, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitaimba kuhusu upendo wako na haki yako; kwako wewe, Ee Mwenyezi Mungu, nitaimba sifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Rehema na hukumu nitaziimba, Ee Bwana, nitakuimbia zaburi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utenzi wangu kuhusu uaminifu na haki; ninauimba kwa heshima yako, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) Nitaimba juu ya upendo wako na haki yako; kwako wewe, Ee BWANA, nitaimba sifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitaimba juu ya upendo wako na haki yako; kwako wewe, Ee bwana, nitaimba sifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Rehema na hukumu nitaziimba, Ee BWANA, nitakuimbia zaburi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utenzi wangu kuhusu uaminifu na haki; ninauimba kwa heshima yako, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upole na uamuzi wa kweli nitauimbia, nitakutungia wimbo, wewe Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Rehema na hukumu nitaziimba, Ee BWANA, nitakuimbia zaburi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi. Wimbo wangu unaelekea wema na haki; ninauimba kwa heshima yako, ee Yawe.