Psalms 101:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upotovu wowote ule uwe mbali nami; sitahusika kabisa na uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wa ukaidi utakuwa mbali nami; nitajitenga na kila ubaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wa ukaidi utaondoka kwangu, Lililo ovu sitalijua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Upotovu wowote ule uwe mbali nami; sitahusika kabisa na uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moyo wa ukaidi utakuwa mbali nami; nitajitenga na kila ubaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moyo wa ukaidi utakuwa mbali nami; nitajitenga na kila ubaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wa ukaidi utaondoka kwangu, Lililo ovu sitalijua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upotovu wowote ule uwe mbali nami; sitahusika kabisa na uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo ulio wenye upotovu sharti uondoke kwangu, sitaki kulijua lililo baya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wa ukaidi utaondoka kwangu, Lililo ovu sitalijua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Upotovu wowote ukuwe mbali nami; sitahusika kabisa na uovu.