Psalms 101:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayemsengenya jirani nitamfutilia mbali; sitamvumilia mwenye majivuno na kiburi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila amsingiziaye jirani yake kwa siri, huyo nitamnyamazisha; mwenye macho ya dharau na moyo wa kiburi huyo sitamvumilia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amsingiziaye jirani yake kwa siri, Huyo nitamharibu. Mwenye macho ya kiburi na moyo wa majivuno, Huyo sitavumilia naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayemsengenya jirani nitamfutilia mbali; sitamvumilia mwenye majivuno na kiburi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila amsingiziaye jirani yake kwa siri, huyo nitamnyamazisha; mwenye macho ya dharau na moyo wa kiburi sitamvumilia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila amsingiziaye jirani yake kwa siri, huyo nitamnyamazisha; mwenye macho ya dharau na moyo wa kiburi huyo sitamvumilia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amsingiziaye jirani yake kwa siri, Huyo nitamwangamiza. Mwenye macho ya kiburi na moyo wa majivuno, Huyo sitamvumilia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayemsengenya jirani nitamfutilia mbali; sitamvumilia mwenye majivuno na kiburi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amsingiziaye mwenziwe kinjamanjama ndiye, nitakayemmaliza, mwenye macho makuu na mwenye moyo wa kujivuna simvumilii.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amsingiziaye jirani yake kwa siri, Huyo nitamharibu. Mwenye macho ya kiburi na moyo wa majivuno, Huyo sitavumilia naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitateketeza yule anayemuteta mwenzake, sitamuvumilia mwenye majivuno na kiburi.