Psalms 101:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwongo yeyote hatakaa nyumbani mwangu; hakuna msema uongo atakayekaa kwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mdanganyifu hatakaa nyumbani mwangu, yeye asemaye kwa uongo hatasimama mbele yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hatakaa ndani ya nyumba yangu Mtu atendaye hila. Asemaye uongo hatathibitika Mbele ya macho yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwongo yeyote hatakaa nyumbani mwangu; hakuna msema uongo atakayekaa kwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mdanganyifu hatakaa nyumbani mwangu, yeye asemaye kwa uongo hatasimama mbele yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mdanganyifu hatakaa nyumbani mwangu, yeye asemaye kwa uongo hatasimama mbele yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hatakaa ndani ya nyumba yangu Mtu atendaye hila. Asemaye uongo hatathibitika Mbele ya macho yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwongo yeyote hatakaa nyumbani mwangu; hakuna msema uongo atakayekaa kwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Afanyae udanganyifu hakai nyumbani mwangu, wala asemaye uwongo hatasimama machoni pangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hatakaa ndani ya nyumba yangu Mtu atendaye hila. Asemaye uongo hatathibitika Mbele ya macho yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwongo yeyote hatakaa ndani ya nyumba yangu; hakuna musema uongo atakayekaa kwangu.