Psalms 101:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku kwa siku nitawaangamiza waovu wote nchini; nitawaangamiza wabaya wote mjini mwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila asubuhi nitawanyamazisha waovu wote katika nchi; nitamkatilia mbali kila mtenda maovu kutoka mji wa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asubuhi hata asubuhi nitawaharibu Wabaya wote wa nchi. Niwatenge wote watendao uovu Na mji wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku kwa siku nitawaangamiza waovu wote nchini; nitawaangamiza wabaya wote mjini mwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila asubuhi nitawanyamazisha waovu wote katika nchi; nitamkatilia mbali kila mtenda mabaya kutoka katika mji wa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila asubuhi nitawanyamazisha waovu wote katika nchi; nitamkatilia mbali kila mtenda mabaya kutoka mji wa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila asubuhi nitawaangamiza Waovu wote nchini. Nikiwatenga wote watendao uovu Na mji wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku kwa siku nitawaangamiza waovu wote nchini; nitawaangamiza wabaya wote mjini mwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila kunapokucha nitawamaliza katika nchi wote wasiomcha Mungu, nao wote wafanyao maovu nitawang'oa mjini mwake Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asubuhi hata asubuhi nitawaharibu Wabaya wote wa nchi. Niwatenge wote watendao uovu Na mji wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku kwa siku nitawaangamiza waovu wote katika inchi; nitawaangamiza wabaya wote katika muji wa Yawe.