Psalms 102:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Sala ya mtu aliye katika shida na ambaye anamwekea Mwenyezi-Mungu malalamiko yake) Usikie sala yangu, ee Mwenyezi-Mungu, na kilio changu kikufikie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, usikie maombi yangu; kilio changu cha kuomba msaada kikufikie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, usikie kuomba kwangu, Kilio changu kikufikie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usikie sala yangu, ee Mwenyezi-Mungu, na kilio changu kikufikie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Maombi Ya Mtu Aliyechoka, Anayeteseka, Anayemimina Malalamiko Kwa BWANA) Ee BWANA, usikie maombi yangu, kilio changu cha kuomba msaada kikufikie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, usikie maombi yangu, kilio changu cha kuomba msaada kikufikie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, usikie kuomba kwangu, Kilio changu kikufikie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usikie sala yangu, ee Mwenyezi-Mungu, na kilio changu kikufikie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maombo ya mnyonge; kwa kufikisha kuzimia roho anamtolea Bwana wasiwasi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, usikie kuomba kwangu, Kilio changu kikufikie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maombi ya mutu anayekuwa katika taabu ambaye anamutolea Yawe malalamiko yake.