Psalms 102:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa sababu ya ghadhabu na hasira yako, maana umeniokota na kunitupilia mbali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu ya ghadhabu yako kuu, kwa maana umeniinua na kunitupa kando.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu ya ghadhabu yako na hasira yako; Maana umeniinua na kunitupilia mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa sababu ya ghadhabu na hasira yako, maana umeniokota na kunitupilia mbali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu ya ghadhabu yako kuu, kwa maana umeniinua na kunitupa kando.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu ya ghadhabu yako kuu, kwa maana umeniinua na kunitupa kando.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu ya ghadhabu yako na hasira yako; Maana umeniinua na kunitupilia mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa sababu ya ghadhabu na hasira yako, maana umeniokota na kunitupilia mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ninakula uvumbi, kama ni mkate, navyo vinywaji vyangu ninavichanganya na machozi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu ya ghadhabu yako na hasira yako; Maana umeniinua na kunitupilia mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Majivu yamekuwa chakula changu, machozi yanachangana na kinywaji changu,