Psalms 102:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maisha yangu ni kama kivuli cha jioni; ninanyauka kama nyasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku zangu ni kama kivuli cha jioni, ninanyauka kama jani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zangu zi kama kivuli kilichotandaa, Nami ninanyauka kama majani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maisha yangu ni kama kivuli cha jioni; ninanyauka kama nyasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku zangu ni kama kivuli cha jioni, ninanyauka kama jani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku zangu ni kama kivuli cha jioni, ninanyauka kama jani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zangu ni kama kivuli cha jioni, Nami ninanyauka kama majani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maisha yangu ni kama kivuli cha jioni; ninanyauka kama nyasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa sababu umenitolea makali na kunichafukia, kisha ukanikamata, ukanibwaga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zangu zi kama kivuli kilichotandaa, Nami ninanyauka kama majani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu ya kasirani na hasira yako, maana umeniokota na kunitupilia mbali.