Psalms 102:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, watawala milele; jina lako lakumbukwa vizazi vyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wewe, Ee Mwenyezi Mungu, umeketi kwenye kiti chako cha enzi milele; sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali Wewe, Bwana utaketi ukimiliki milele, Na kumbukumbu lako kizazi hata kizazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, watawala milele; jina lako lakumbukwa vizazi vyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wewe, Ee BWANA, umeketi katika kiti chako cha enzi milele, sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wewe, Ee bwana, umeketi katika kiti chako cha enzi milele, sifa zako za ukuu zaendelea vizazi vyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali Wewe, BWANA utaketi ukimiliki milele, Na jina lako litakumbukwa na vizazi vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, watawala milele; jina lako lakumbukwa vizazi vyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zangu ni kama kivuli kilicho kirefu, nami nimenyauka kama majani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali Wewe, BWANA utaketi ukimiliki milele, Na kumbukumbu lako kizazi hata kizazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maisha yangu ni kama kivuli cha magaribi; ninanyauka kama majani.