Psalms 102:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe utainuka na kuurehemu mji wa Siyoni; maana wakati umefika wa kuutendea mema; wakati wake uliopangwa umefika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utainuka na kuihurumia Sayuni, kwa maana ni wakati wa kumwonesha wema; wakati uliokubalika umewadia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe mwenyewe utasimama, Na kuirehemu Sayuni, Kwa maana ndio wakati wa kuihurumia, Naam, majira yaliyoamriwa yamewadia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe utainuka na kuurehemu mji wa Siyoni; maana wakati umefika wa kuutendea mema; wakati wake uliopangwa umefika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utainuka na kuihurumia Sayuni, kwa maana ni wakati wa kumwonyesha wema; wakati uliokubalika umewadia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utainuka na kuihurumia Sayuni, kwa maana ni wakati wa kumwonyesha wema; wakati uliokubalika umewadia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe mwenyewe utasimama, Na kuirehemu Sayuni, Kwa maana ndio wakati wa kuihurumia, Naam, majira yaliyoamriwa yamewadia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe utainuka na kuurehemu mji wa Siyoni; maana wakati umefika wa kuutendea mema; wakati wake uliopangwa umefika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wewe, Bwana, utakaa kale na kale, kwa vizazi na vizazi utakumbukwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe mwenyewe utasimama, Na kuirehemu Sayuni, Kwa maana ndio wakati wa kuihurumia, Naam, majira yaliyoamriwa yamewadia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe, ee Yawe, unatawala milele; jina lako linakumbukwa katika vizazi vyote.