Psalms 102:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watumishi wako wanauthamini sana, ujapokuwa magofu sasa; wanauonea huruma, ingawa umeharibika kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana mawe yake ni ya thamani kwa watumishi wako, vumbi lake lenyewe hulionea huruma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana watumishi wako wameyaridhia mawe yake, Na kuyaonea huruma mavumbi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watumishi wako wanauthamini sana, ujapokuwa magofu sasa; wanauonea huruma, ingawa umeharibika kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana mawe yake ni ya thamani kwa watumishi wako, vumbi lake lenyewe hulionea huruma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana mawe yake ni ya thamani kwa watumishi wako, vumbi lake lenyewe hulionea huruma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana watumishi wako wameyaridhia mawe yake, Na kuyaonea huruma mavumbi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watumishi wako wanauthamini sana, ujapokuwa magofu sasa; wanauonea huruma, ingawa umeharibika kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe utakapoinuka, uhurumie Sioni! Kwani siku za kuuonea uchungu sasa ziko, kweli imekwisha kufika saa yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana watumishi wako wameyaridhia mawe yake, Na kuyaonea huruma mavumbi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe utasimama na kurehemu Sayuni, maana wakati umefika wa kuuhurumia, wakati wake uliopangwa umefika.