Psalms 102:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mataifa yataliheshimu jina la Mwenyezi-Mungu; wafalme wote duniani wataogopa utukufu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mataifa wataogopa jina la Mwenyezi Mungu, wafalme wote wa dunia watauheshimu utukufu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha mataifa wataliogopa jina la Bwana, Na wafalme wote wa dunia utukufu wako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mataifa yataliheshimu jina la Mwenyezi-Mungu; wafalme wote duniani wataogopa utukufu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mataifa wataogopa jina la BWANA, wafalme wote wa dunia watauheshimu utukufu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mataifa wataogopa jina la bwana, wafalme wote wa dunia watauheshimu utukufu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha mataifa wataliogopa jina la BWANA, Na wafalme wote wa dunia utukufu wako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mataifa yataliheshimu jina la Mwenyezi-Mungu; wafalme wote duniani wataogopa utukufu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani watumishi wako hupendezwa, mawe yake yakitumiwa; tena jinsi yanavyokaa uvumbini, inawatia uchungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha mataifa wataliogopa jina la BWANA, Na wafalme wote wa dunia utukufu wako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watumishi wako wanapenda muji ule, ijapokuwa ni mabomoko sasa; wanauonea huruma, ingawa umeharibika kabisa.