Psalms 102:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ataijenga upya Siyoni, na kuonekana alivyo mtukufu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Mwenyezi Mungu ataijenga tena Sayuni na kutokea katika utukufu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana atakapokuwa ameijenga Sayuni, Atakapoonekana katika utukufu wake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ataijenga upya Siyoni, na kuonekana alivyo mtukufu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana BWANA ataijenga tena Sayuni na kutokea katika utukufu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana bwana ataijenga tena Sayuni na kutokea katika utukufu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA atakapokuwa ameijenga Sayuni, Atakapoonekana katika utukufu wake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ataijenga upya Siyoni, na kuonekana alivyo mtukufu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wamizimu watakapoliogopa Jina lake Bwana, nao wafalme wote wa nchi watauogopa utukufu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA atakapokuwa ameijenga Sayuni, Atakapoonekana katika utukufu wake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mataifa yataheshimu jina la Yawe; wafalme wote katika dunia wataogopa utukufu wake.