Psalms 102:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ataikubali sala ya fukara; wala hatayakataa maombi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, wala hatadharau hoja yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atakapoyaelekea maombi yake aliye mkiwa, Asiyadharau maombi yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ataikubali sala ya fukara; wala hatayakataa maombi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, wala hatadharau hoja yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, wala hatadharau hoja yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atakapoyaelekea maombi yake aliye mkiwa, Asiyadharau maombi yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ataikubali sala ya fukara; wala hatayakataa maombi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo, Bwana atakapokuwa ameujenga tena mji wa Sioni, ndipo, utakapokuwa umetokea nao utukufu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atakapoyaelekea maombi yake aliye mkiwa, Asiyadharau maombi yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe atajenga upya Sayuni, na kuonyesha utukufu wake.