Psalms 102:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Andika jambo hili kwa ajili ya vizazi vijavyo; watakaozaliwa baadaye wamsifu Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili na liandikwe kwa ajili ya kizazi kijacho, ili taifa litakaloumbwa baadaye waweze kumsifu Mwenyezi Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kizazi kitakachokuja kitaandikiwa hayo, Na watu watakaoumbwa watamsifu Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Andika jambo hili kwa ajili ya vizazi vijavyo; watakaozaliwa baadaye wamsifu Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili na liandikwe kwa ajili ya kizazi kijacho, ili taifa litakaloumbwa baadaye waweze kumsifu BWANA:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili na liandikwe kwa ajili ya kizazi kijacho, ili taifa litakaloumbwa baadaye waweze kumsifu bwana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kizazi kitakachokuja kitaandikiwa hayo, Na watu watakaoumbwa watamsifu BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Andika jambo hili kwa ajili ya vizazi vijavyo; watakaozaliwa baadaye wamsifu Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atayageukia maombo yao walio wakiwa, maana yale maombo yao hakuyabeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kizazi kitakachokuja kitaandikiwa hayo, Na watu watakaoumbwa watamsifu BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atakubali maombi ya mukosefu; wala hatakataa maombi yao.