Psalms 102:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwamba aliangalia chini kutoka patakatifu pake juu, Mwenyezi-Mungu aliangalia dunia kutoka mbinguni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwenyezi Mungu alitazama chini kutoka patakatifu pake palipo juu, alitazama dunia kutoka mbinguni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ametazama toka patakatifu pake pa juu, Toka mbinguni Bwana ameiangalia nchi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwamba aliangalia chini kutoka patakatifu pake juu, Mwenyezi-Mungu aliangalia dunia kutoka mbinguni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“BWANA alitazama chini kutoka patakatifu pake palipo juu, kutoka mbinguni alitazama dunia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ bwana alitazama chini kutoka patakatifu pake palipo juu, kutoka mbinguni alitazama dunia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ametazama toka patakatifu pake pa juu, Toka mbinguni BWANA ameiangalia nchi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwamba aliangalia chini kutoka patakatifu pake juu, Mwenyezi-Mungu aliangalia dunia kutoka mbinguni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo sharti yaandikiwe vizazi vitakavyozaliwa nyuma, nao wa ukoo utakaoumbwa sharti wamshangilie Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ametazama toka patakatifu pake pa juu, Toka mbinguni BWANA ameiangalia nchi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Andika jambo hili kwa ajili ya vizazi vinavyokuja kusudi watakaozaliwa kisha wamusifu Yawe,