Psalms 102:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usijifiche mbali nami wakati wa taabu! Unitegee sikio lako, unijibu upesi wakati ninapokuomba!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usinifiche uso wako ninapokuwa katika shida. Unitegee sikio lako; ninapoita, unijibu kwa upesi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usinifiche uso wako siku ya shida yangu, Unitegee sikio lako, siku niitapo unijibu upesi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usijifiche mbali nami wakati wa taabu! Unitegee sikio lako, unijibu upesi wakati ninapokuomba!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usinifiche uso wako ninapokuwa katika shida. Unitegee sikio lako, ninapoita, unijibu kwa upesi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usinifiche uso wako ninapokuwa katika shida. Unitegee sikio lako, ninapoita, unijibu kwa upesi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usinifiche uso wako siku ya shida yangu, Unitegee sikio lako, siku niitapo unijibu upesi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usijifiche mbali nami wakati wa taabu! Unitegee sikio lako, unijibu upesi wakati ninapokuomba!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, lisikilize ombo langu! Kilio changu sharti kifike kwako wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usinifiche uso wako siku ya shida yangu, Unitegee sikio lako, siku niitapo unijibu upesi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, usikie maombi yangu, na kilio changu kikufikie.