Psalms 102:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akasikia lalamiko la wafungwa; akawaachilia huru waliohukumiwa kuuawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kusikiliza vilio vya uchungu vya wafungwa, na kuwaweka huru wale waliohukumiwa kufa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili akusikie kuugua kwake aliyefungwa, Na kuwafungua walioandikiwa kufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akasikia lalamiko la wafungwa; akawaachilia huru waliohukumiwa kuuawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kusikiliza vilio vya uchungu vya wafungwa na kuwaweka huru wale waliohukumiwa kufa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kusikiliza vilio vya uchungu vya wafungwa na kuwaweka huru wale waliohukumiwa kufa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili akisikie kilio cha kuugua kwake aliyefungwa, Na kuwafungua walioandikiwa kufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akasikia lalamiko la wafungwa; akawaachilia huru waliohukumiwa kuuawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani alichungua toka Patakatifu pake palipo juu toka mbinguni aliitazama nchi hii,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili akusikie kuugua kwake aliyefungwa, Na kuwafungua walioandikiwa kufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwamba alichungulia chini kutoka katika pahali pake patakatifu. Yawe aliangalia dunia kutoka mbinguni,