Psalms 102:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo watu watatangaza jina la Mwenyezi-Mungu huko Siyoni; sifa zake zitatangazwa huko Yerusalemu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo jina la Mwenyezi Mungu latangazwa huko Sayuni na sifa zake katika Yerusalemu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu walitangaze jina la Bwana katika Sayuni, Na sifa zake katika Yerusalemu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo watu watatangaza jina la Mwenyezi-Mungu huko Siyoni; sifa zake zitatangazwa huko Yerusalemu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo jina la BWANA latangazwa huko Sayuni na sifa zake katika Yerusalemu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo jina la bwana latangazwa huko Sayuni na sifa zake katika Yerusalemu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu walitangaze jina la BWANA katika Sayuni, Na sifa zake katika Yerusalemu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo watu watatangaza jina la Mwenyezi-Mungu huko Siyoni; sifa zake zitatangazwa huko Yerusalemu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
awasikilize waliofungwa, wakimpigia kite, nao walio wana wa kifo awafungulie njia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu walitangaze jina la BWANA katika Sayuni, Na sifa zake katika Yerusalemu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akasikia malalamiko ya wafungwa, akawaachilia huru waliohukumiwa kuuawa.