Psalms 102:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakati mataifa yatakapokusanyika pamoja na falme zitakutana kumwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakati mataifa na falme zitakapokusanyika ili kumwabudu Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pindi mataifa watapokusanyika pamoja, Falme nazo ili kumtumikia Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakati mataifa yatakapokusanyika pamoja na falme zitakutana kumwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati mataifa na falme zitakapokusanyika kumwabudu BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati mataifa na falme zitakapokusanyika ili kumwabudu bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pindi mataifa watapokusanyika pamoja, Na falme, ili kumtumikia BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakati mataifa yatakapokusanyika pamoja na falme zitakutana kumwabudu Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wapate kulitangaza mle Sioni Jina lake Bwana pamoja na kumshangilia mlemle Yerusalemu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pindi mataifa watapokusanyika pamoja, Falme nazo ili kumtumikia BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu watatangaza jina la Yawe kule Sayuni; sifa zake zitatangazwa kule Yerusalema,