Psalms 102:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu amenipunguzia nguvu ningali kijana; ameyafupisha maisha yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika kuishi kwangu alivunja nguvu zangu, akafupisha siku zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amezipunguza nguvu zangu njiani; Amezifupisha siku zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu amenipunguzia nguvu ningali kijana; ameyafupisha maisha yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika kuishi kwangu alivunja nguvu zangu, akafupisha siku zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika kuishi kwangu alivunja nguvu zangu, akafupisha siku zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amezipunguza nguvu zangu njiani; Amezifupisha siku zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu amenipunguzia nguvu ningali kijana; ameyafupisha maisha yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
makabila ya watu yatakapokusanyika yote pia pamoja na wafalme, wamtumikie Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amezipunguza nguvu zangu njiani; Amezifupisha siku zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakati mataifa yatakapokusanyika pamoja na falme zitakapokutana kumwabudu Yawe.