Psalms 102:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe uliiumba dunia zamani za kale, mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo mwanzo uliutia msingi wa nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe uliiumba dunia zamani za kale, mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, na mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo mwanzo uliutia msingi wa nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe uliiumba dunia zamani za kale, mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikasema: Mungu wangu, usiniondoe, siku zangu simefika kati tu! Miaka ikaayo kwa vizazi na vizazi ni yako wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo mwanzo uliutia msingi wa nchi, Na mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu wangu, usinihamishe sasa wakati ningali bado kijana. Ee Yawe, wewe unadumu milele.