Psalms 102:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hizo zitatoweka, lakini wewe wabaki; hizo zitachakaa kama vazi. Utazitupilia mbali kama nguo, nazo zitapotelea mbali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu, zote zitachakaa kama vazi. Utazibadilisha kama nguo nazo zitaondoshwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hizi zitaharibika, bali Wewe utadumu Naam, hizi zitachakaa kama nguo; Na kama mavazi utazibadilisha, Nazo zitabadilika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hizo zitatoweka, lakini wewe wabaki; hizo zitachakaa kama vazi. Utazitupilia mbali kama nguo, nazo zitapotelea mbali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi vitatoweka, lakini wewe utadumu, vyote vitachakaa kama vazi. Utavibadilisha kama nguo navyo vitaondoshwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu, zote zitachakaa kama vazi. Utazibadilisha kama nguo nazo zitaondoshwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hizi zitaharibika, bali Wewe utadumu Naam, hizi zitachakaa kama nguo; Na kama mavazi utazibadilisha, Nazo zitabadilika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hizo zitatoweka, lakini wewe wabaki; hizo zitachakaa kama vazi. Utazitupilia mbali kama nguo, nazo zitapotelea mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko kale uliiweka misingi ya nchi, mbingu nazo ni kazi ya mikono yako wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hizi zitaharibika, bali Wewe utadumu Naam, hizi zitachakaa kama nguo; Na kama mavazi utazibadilisha, Nazo zitabadilika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe uliumba dunia tokea zamani, mbingu ni kazi ya mikono yako.