Psalms 102:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wewe ni yuleyule daima, na maisha yako hayana mwisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wewe, U yeye yule, nayo miaka yako haikomi kamwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Wewe U Yeye yule; Na miaka yako haitakoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wewe ni yuleyule daima, na maisha yako hayana mwisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wewe, U yeye yule, nayo miaka yako haikomi kamwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wewe, U yeye yule, nayo miaka yako haikomi kamwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Wewe U Yeye yule; Na miaka yako haina mwisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wewe ni yuleyule daima, na maisha yako hayana mwisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizo zitaangamia, lakini wewe utasimama. Kweli, zote zitachakaa kama nguo; utakapozigeuza kama vazi, ndipo, zitakapogeuka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Wewe U Yeye yule; Na miaka yako haitakoma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vitatoweka na kuchakaa kama nguo, lakini wewe utabaki. Utavibadilisha kama nguo, navyo vitapita.