Psalms 102:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wa watumishi wako watakaa salama; wazawa wao wataimarishwa mbele yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watoto wa watumishi wako wataishi mbele zako; wazao wao wataimarishwa mbele zako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa watumishi wako watakaa, Na wazao wao wataimarishwa mbele zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wa watumishi wako watakaa salama; wazawa wao wataimarishwa mbele yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watoto wa watumishi wako wataishi mbele zako; wazao wao wataimarishwa mbele zako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watoto wa watumishi wako wataishi mbele zako; wazao wao wataimarishwa mbele zako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa watumishi wako watakaa, Na wazao wao wataimarishwa mbele zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wa watumishi wako watakaa salama; wazawa wao wataimarishwa mbele yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wewe ndiwe yuleyule uliyekuwa kale, miaka yako haitakoma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa watumishi wako watakaa, Na wazao wao wataimarishwa mbele zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe unabaki sawasawa, na maisha yako hayana mwisho.