Psalms 102:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku zangu zapita kama moshi; mifupa yangu yaungua kama katika tanuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi; mifupa yangu inaungua kama kaa la moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana siku zangu zinatoweka kama moshi, Na mifupa yangu inateketea kama kinga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku zangu zapita kama moshi; mifupa yangu yaungua kama katika tanuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi, mifupa yangu inaungua kama kaa la moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa siku zangu zinatoweka kama moshi, mifupa yangu inaungua kama kaa la moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana siku zangu zinatoweka kama moshi, Na mifupa yangu inateketea kama kinga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku zangu zapita kama moshi; mifupa yangu yaungua kama katika tanuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiufiche uso wako, nisiuone ninaposongeka! Nitegee sikio lako, ninapokuita, uniitikie upesi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana siku zangu zinatoweka kama moshi, Na mifupa yangu inateketea kama kinga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usijifiche mbali nami wakati wa taabu! Unitegee sikio lako, unijibu upesi wakati ninapokuomba!