Psalms 102:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimepondwa moyoni kama nyasi na kunyauka; sina hata hamu ya chakula.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wangu umefifia na kunyauka kama jani; ninasahau kula chakula changu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wangu umepigwa kama majani na kukauka, Naam, ninasahau kula chakula changu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimepondwa moyoni kama nyasi na kunyauka; sina hata hamu ya chakula.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moyo wangu umefifia na kunyauka kama jani, ninasahau kula chakula changu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moyo wangu umefifia na kunyauka kama jani, ninasahau kula chakula changu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wangu umepigwa kama majani na kukauka, Naam, ninasahau kula chakula changu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimepondwa moyoni kama nyasi na kunyauka; sina hata hamu ya chakula.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani siku zangu hupotea kama moshi, nayo mifupa yangu huchomwa kama vijinga vya moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wangu umepigwa kama majani na kukauka, Naam, ninasahau kula chakula changu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku zangu zinapita kama moshi; mifupa yangu inaungua kama katika furu.