Psalms 102:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutokana na kusononeka kwangu, nimebaki mifupa na ngozi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu, nimebakia ngozi na mifupa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa ajili ya sauti ya kuugua kwangu Mifupa yangu imegandamana na nyama yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutokana na kusononeka kwangu, nimebaki mifupa na ngozi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu, nimebakia ngozi na mifupa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu, nimebakia ngozi na mifupa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa ajili ya kilio cha kuugua kwangu Mifupa yangu imegandamana na nyama yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutokana na kusononeka kwangu, nimebaki mifupa na ngozi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wangu umeungua, ukanyauka kama majani, kwa hiyo mimi husahau kula chakula changu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa ajili ya sauti ya kuugua kwangu Mifupa yangu imegandamana na nyama yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimepondekana kama majani na kunyauka; sina hata hamu ya chakula.