Psalms 102:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimekuwa kama ndege wa jangwani; kama bundi kwenye mahame.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimekuwa kama bundi wa jangwani, kama bundi kwenye magofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimekuwa kama mwari nyuni wa jangwani, Na kufanana na bundi wa mahameni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimekuwa kama ndege wa jangwani; kama bundi kwenye mahame.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimekuwa kama bundi wa jangwani, kama bundi kwenye magofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimekuwa kama bundi wa jangwani, kama bundi kwenye magofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimekuwa kama ndege wa jangwani, Na kufanana na bundi katika mahame.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimekuwa kama ndege wa jangwani; kama bundi kwenye mahame.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hivyo, ninavyolia na kupiga kite, nyama za mwili wangu zimegandamana nayo mifupa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimekuwa kama mwari nyuni wa jangwani, Na kufanana na bundi wa mahameni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutokana na kuugua kwangu, nimebaki mifupa na ngozi.