Psalms 102:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninalala macho wazi, kama ndege mkiwa juu ya paa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilalapo sipati usingizi; nimekuwa kama ndege mpweke kwenye paa la nyumba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakesha, tena nimekuwa kama shomoro Aliye peke yake juu ya nyumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninalala macho wazi, kama ndege mkiwa juu ya paa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilalapo sipati usingizi, nimekuwa kama ndege mpweke kwenye paa la nyumba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilalapo sipati usingizi, nimekuwa kama ndege mpweke kwenye paa la nyumba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nakesha, tena nimekuwa kama shomoro Aliye peke yake juu ya nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninalala macho wazi, kama ndege mkiwa juu ya paa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimefanana na korwa wa huko jangwani, nikawa kama bundi akaaye mahameni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakesha, tena nimekuwa kama shomoro Aliye peke yake juu ya nyumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimekuwa kama ndege katika jangwa, kama bundi kwenye matongo.