Psalms 102:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchana kutwa maadui zangu wananisimanga, wanaonidhihaki hutumia jina langu kulaania.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mchana kutwa adui zangu hunidhihaki; wanaonizunguka hutumia jina langu kama laana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Adui zangu wananilaumu mchana kutwa; Wanaonichukia kana kwamba wana wazimu Huapa kwa kunitaja mimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchana kutwa maadui zangu wananisimanga, wanaonidhihaki hutumia jina langu kulaania.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mchana kutwa adui zangu hunidhihaki, wale wanaonizunguka hutumia jina langu kama laana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mchana kutwa adui zangu hunidhihaki, wale wanaonizunguka hutumia jina langu kama laana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Adui zangu wananilaumu mchana kutwa; Wanaonichukia kana kwamba wana wazimu Wakitaja jina langu katika laana zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchana kutwa maadui zangu wananisimanga, wanaonidhihaki hutumia jina langu kulaania.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninalala macho kwa kulia, ninafanana na ndege aliyeachwa peke yake kipaani juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Adui zangu wananilaumu mchana kutwa; Wanaonichukia kana kwamba wana wazimu Huapa kwa kunitaja mimi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninalala macho wazi, kama ndege anayekuwa peke yake juu ya paa.