Psalms 102:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Majivu yamekuwa chakula changu, machozi nayachanganya na kinywaji changu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninakula majivu kama chakula changu, nimechanganya kinywaji changu na machozi
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana nimekula majivu kama chakula, Na kukichanganya kinywaji changu na machozi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Majivu yamekuwa chakula changu, machozi nayachanganya na kinywaji changu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninakula majivu kama chakula changu na nimechanganya kinywaji changu na machozi
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninakula majivu kama chakula changu na nimechanganya kinywaji changu na machozi
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ninakula majivu kama chakula, Na kukichanganya kinywaji changu na machozi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Majivu yamekuwa chakula changu, machozi nayachanganya na kinywaji changu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zote adui zangu hunisimanga, hunizomea na kuapa, nipatwe na mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana nimekula majivu kama chakula, Na kukichanganya kinywaji changu na machozi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchana kutwa waadui zangu wananisimanga, wanaonichekelea wanatumia jina langu kwa kulaani.