Psalms 103:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi) Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu; nafsi yangu yote ilisifu jina lake takatifu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee nafsi yangu, umhimidi Mwenyezi Mungu. Vyote vilivyo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu; nafsi yangu yote ilisifu jina lake takatifu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA, vyote vilivyomo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee nafsi yangu, umhimidi bwana. Vyote vilivyomo ndani yangu vilihimidi jina lake takatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu; nafsi yangu yote ilisifu jina lake takatifu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtukuze Bwana, roho yangu! Navyo vyote vilivyomo ndani yangu mimi na vilitukuze Jina lake lililo takatifu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi. Ee nafsi yangu, umusifu Yawe; nafsi yangu yote isifu jina lake takatifu!