Psalms 103:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye hatuadhibu kama tunavyostahili; hatulipizi kadiri ya uovu wetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu wala hatupatilizi kwa kadiri ya maovu yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakututenda sawasawa na hatia zetu, Wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye hatuadhibu kama tunavyostahili; hatulipizi kadiri ya uovu wetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu wala hatupatilizi kwa kadiri ya maovu yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu wala hatupatilizi kwa kadiri ya maovu yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakututenda kulingana na hatia zetu, Wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye hatuadhibu kama tunavyostahili; hatulipizi kadiri ya uovu wetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hatatufanyizia yapasayo makosa yetu, wala hatatulipisha manza, tulizozikora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakututenda sawasawa na hatia zetu, Wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye hatuazibu kama tunavyostahili; hatulipizi kadiri ya uovu wetu.