Psalms 103:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama vile anga lilivyo juu mbali na dunia, ndivyo ulivyo mwingi wema wake kwa watu wanaomcha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama vile mbingu zilivyo juu ya dunia, ndivyo wema wake ulivyo mwingi kwa wanaomcha;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mbingu zilivyoinuka juu ya nchi, Kadiri ile ile rehema zake ni kuu kwa wamchao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama vile anga lilivyo juu mbali na dunia, ndivyo ulivyo mwingi wema wake kwa watu wanaomcha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama vile mbingu zilivyo juu sana juu ya dunia, ndivyo wema wake ulivyo mwingi kwa wanaomcha;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vile mbingu zilivyo juu ya dunia sana, ndivyo wema wake ulivyo mwingi kwa wanaomcha;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, kama mbingu zilivyoinuka juu ya nchi, Ndivyo fadhili zake zilivyo kuu kwa wamchao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama vile anga lilivyo juu mbali na dunia, ndivyo ulivyo mwingi wema wake kwa watu wanaomcha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kama mbingu zinavyokuwa juu ya nchi, ndivyo, upole wake unavyokua kwao wamwogopao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mbingu zilivyoinuka juu ya nchi, Kadiri ile ile rehema zake ni kuu kwa wamchao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile anga linavyokuwa juu mbali na dunia, ndivyo kipimo cha wema wake kinavyokuwa kwa watu wanaomwabudu.