Psalms 103:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama vile baba amhurumiavyo mwanawe, ndivyo Mwenyezi-Mungu awahurumiavyo wote wamchao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake, ndivyo Mwenyezi Mungu anavyowahurumia wale wanaomcha;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake, Ndivyo Bwana anavyowahurumia wamchao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama vile baba amhurumiavyo mwanawe, ndivyo Mwenyezi-Mungu awahurumiavyo wote wamchao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake, ndivyo BWANA anavyowahurumia wale wanaomcha;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama baba alivyo na huruma kwa watoto wake, ndivyo bwana anavyowahurumia wale wanaomcha;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake, Ndivyo BWANA anavyowahurumia wamchao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama vile baba amhurumiavyo mwanawe, ndivyo Mwenyezi-Mungu awahurumiavyo wote wamchao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama baba anavyowaonea uchungu walio wanawe, ndivyo, Bwana anavyowaonea uchungu wao wamwogopao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake, Ndivyo BWANA anavyowahurumia wamchao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile baba anavyohurumia mwana wake, ndivyo Yawe anavyohurumia wote wanaomwabudu.