Psalms 103:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu ajua mfumo wa nafsi zetu; ajua kwamba sisi ni mavumbi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa anajua tulivyoumbwa, anakumbuka kwamba sisi tu mavumbi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana Yeye anatujua umbo letu, Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu ajua mfumo wa nafsi zetu; ajua kwamba sisi ni mavumbi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa anajua tulivyoumbwa, anakumbuka kwamba sisi tu mavumbi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa anajua tulivyoumbwa, anakumbuka kwamba sisi tu mavumbi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana Yeye anatujua umbo letu, Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu ajua mfumo wa nafsi zetu; ajua kwamba sisi ni mavumbi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani yeye anajua, jinsi alivyotuumba, hukumbuka, ya kuwa sisi tu mavumbi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana Yeye anatujua umbo letu, Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anajua jinsi tulivyoumbwa; anajua kwamba sisi ni mavumbi.