Psalms 103:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walakini binadamu, maisha yake ni kama nyasi tu; huchanua kama ua shambani:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani, anachanua kama ua la kondeni;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanadamu siku zake zi kama majani; Kama ua la kondeni ndivyo asitawivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walakini binadamu, maisha yake ni kama nyasi tu; huchanua kama ua shambani:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani, anachanua kama ua la shambani;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani, anachanua kama ua la shambani;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanadamu siku zake zi kama majani; Kama ua la kondeni ndivyo anavyostawi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walakini binadamu, maisha yake ni kama nyasi tu; huchanua kama ua shambani:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu siku zake hufanana nayo majani, huchanua kama ua la porini;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanadamu siku zake zi kama majani; Kama ua la kondeni ndivyo asitawivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maisha ya mwanadamu ni kama majani tu, yanachanua kama maua: