Psalms 103:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Upepo huvuma juu yake nalo latoweka; na mahali lilipokuwa hapaonekani tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
upepo huvuma juu yake nalo hutoweka, mahali pake hapalikumbuki tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana upepo hupita juu yake, kumbe haliko! Na mahali pake hapatalijua tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
upepo huvuma juu yake nalo latoweka; na mahali lilipokuwa hapaonekani tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
upepo huvuma juu yake nalo hutoweka, mahali pake hapalikumbuki tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
upepo huvuma juu yake nalo hutoweka, mahali pake hapalikumbuki tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana upepo hupita juu yake, na kutoweka! Lisionekane mahali lilipokuwa tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Upepo huvuma juu yake nalo latoweka; na mahali lilipokuwa hapaonekani tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini upepo ukipita juu yake, haliko tena, wala watu hawapatambui tena mahali, lilipokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana upepo hupita juu yake, kumbe haliko! Na mahali pake hapatalijua tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
upepo unapovuma juu yake yanatoweka, na mahali yalipokuwa hapaonekani tena.