Psalms 103:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini fadhili za Mwenyezi-Mungu hudumu milele, kwa wale wote wanaomheshimu; na wema wake wadumu vizazi vyote,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kutoka milele hata milele upendo wa Mwenyezi Mungu uko kwa wale wamchao, nayo haki yake kwa watoto wa watoto wao:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali fadhili za Bwana zina wamchao Tangu milele hata milele, Na haki yake ina wana wa wana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini fadhili za Mwenyezi-Mungu hudumu milele, kwa wale wote wanaomheshimu; na wema wake wadumu vizazi vyote,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kutoka milele hata milele upendo wa BWANA uko kwa wale wamchao, nayo haki yake kwa watoto wa watoto wao:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kutoka milele hata milele upendo wa bwana uko kwa wale wamchao, nayo haki yake kwa watoto wa watoto wao:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali fadhili za BWANA ni kwa wamchao Tangu milele hata milele, Na haki yake ni kwa vizazi vyote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini fadhili za Mwenyezi-Mungu hudumu milele, kwa wale wote wanaomheshimu; na wema wake wadumu vizazi vyote,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini upole wake Bwana huwakalia wamwogopao tangu kale hata kale, nao wongofu wake huwakalia wana kwa wana
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali fadhili za BWANA zina wamchao Tangu milele hata milele, Na haki yake ina wana wa wana;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wema wa Yawe unadumu milele, kwa wale wote wanaomwabudu; na haki yake inadumu vizazi vyote,