Psalms 103:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa wote wanaozingatia agano lake, wanaokumbuka kutii amri zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa wale walishikao agano lake na kukumbuka kuyatii mausia yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, wale walishikao agano lake, Na kuyakumbuka maagizo yake ili wayafanye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa wote wanaozingatia agano lake, wanaokumbuka kutii amri zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa wale walishikao Agano lake na kukumbuka kuyatii mausia yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa wale walishikao agano lake na kukumbuka kuyatii mausia yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa wale walishikao agano lake, Na kuyakumbuka maagizo yake ili wayafanye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa wote wanaozingatia agano lake, wanaokumbuka kutii amri zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwao walishikao Agano lake na kuliangalia nako kwao wayakumbukao maagizo yake, wayafanye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, wale walishikao agano lake, Na kuyakumbuka maagizo yake ili wayafanye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa wote wanaoshika agano lake, wanaokumbuka kutii amri zake.