Psalms 103:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ameweka kiti chake cha enzi mbinguni; yeye anatawala juu ya vitu vyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni, na ufalme wake unatawala vitu vyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ameweka kiti chake cha enzi mbinguni, Na ufalme wake unavitawala vitu vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ameweka kiti chake cha enzi mbinguni; yeye anatawala juu ya vitu vyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni, ufalme wake unatawala juu ya vyote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni, ufalme wake unatawala juu ya vyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ameweka kiti chake cha enzi mbinguni, Na ufalme wake unavitawala vitu vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ameweka kiti chake cha enzi mbinguni; yeye anatawala juu ya vitu vyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana alikisimamaisha mbinguni kiti chake cha kifalme, ufalme wake unawatawala watu wote pia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ameweka kiti chake cha enzi mbinguni, Na ufalme wake unavitawala vitu vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ameweka kiti chake cha kifalme mbinguni; yeye anatawala juu ya vitu vyote.