Psalms 103:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu! Usisahau kamwe wema wake wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee nafsi yangu, umhimidi Mwenyezi Mungu, wala usisahau wema wake wote:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, Wala usizisahau fadhili zake zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu! Usisahau kamwe wema wake wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA, wala usisahau wema wake wote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee nafsi yangu, umhimidi bwana, wala usisahau wema wake wote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA, Wala usizisahau fadhili zake zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu! Usisahau kamwe wema wake wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtukuze Bwana, roho yangu! Usiyasahau mema yote, aliyokutendea!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA, Wala usizisahau fadhili zake zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee nafsi yangu, umusifu Yawe! Usisahau hata kidogo matendo mazuri yake yote.