Psalms 103:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi malaika wakuu, msifuni Mwenyezi-Mungu; mnaotimiza amri zake na kutekeleza neno lake!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mhimidini Mwenyezi Mungu, enyi malaika wake, ninyi mlio mashujaa, mnaozitii amri zake, ninyi mnaotii neno lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, Ninyi mlio hodari, mtendao neno lake, Mkiisikiliza sauti ya neno lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi malaika wakuu, msifuni Mwenyezi-Mungu; mnaotimiza amri zake na kutekeleza neno lake!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mhimidini BWANA, enyi malaika zake, ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, ninyi mnaotii neno lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mhimidini bwana, enyi malaika zake, ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, ninyi mnaotii neno lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mhimidini BWANA, enyi malaika zake, Ninyi mlio hodari, mtendao neno lake, Mkiisikiliza sauti ya neno lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi malaika wakuu, msifuni Mwenyezi-Mungu; mnaotimiza amri zake na kutekeleza neno lake!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtukuzeni Bwana, ninyi malaika zake! Nanyi wakuu wa vikosi mlio wenye nguvu, mlifanyao Neno lake, mkilisikiliza hilo Neno lake, sauti yake ikitokea!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mhimidini BWANA, enyi malaika zake, Ninyi mlio hodari, mtendao neno lake, Mkiisikiliza sauti ya neno lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu Yawe, enyi wamalaika wakubwa, enyi munaotimiza amri zake na kutimiza neno lake!