Psalms 103:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi jeshi lote la mbinguni, msifuni Mwenyezi-Mungu; enyi watumishi wake mnaotekeleza matakwa yake!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mhimidini Mwenyezi Mungu, ninyi jeshi lake lote la mbinguni, ninyi watumishi wake mnaofanya mapenzi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mhimidini Bwana, enyi majeshi yake yote, Ninyi watumishi wake mfanyao mapenzi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi jeshi lote la mbinguni, msifuni Mwenyezi-Mungu; enyi watumishi wake mnaotekeleza matakwa yake!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mhimidini BWANA, ninyi jeshi lake lote la mbinguni, ninyi watumishi wake mnaofanya mapenzi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mhimidini bwana, ninyi jeshi lake lote la mbinguni, ninyi watumishi wake mnaofanya mapenzi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mhimidini BWANA, enyi majeshi yake yote, Ninyi watumishi wake mfanyao mapenzi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi jeshi lote la mbinguni, msifuni Mwenyezi-Mungu; enyi watumishi wake mnaotekeleza matakwa yake!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtukuzeni Bwana, ninyi vikosi vyake vyote! Nanyi watumishi wake myafanyao yampendezayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mhimidini BWANA, enyi majeshi yake yote, Ninyi watumishi wake mfanyao mapenzi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu Yawe, enyi kundi lote la mbinguni, enyi watumishi wake munaotimiza mapenzi yake!