Psalms 103:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni Mwenyezi-Mungu enyi viumbe vyake vyote; msifuni popote mlipo katika milki yake. Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mhimidini Mwenyezi Mungu, enyi kazi zake zote kila mahali katika milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mhimidini Bwana, enyi matendo yake yote, Mahali pote pa milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni Mwenyezi-Mungu enyi viumbe vyake vyote; msifuni popote mlipo katika milki yake. Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mhimidini BWANA, kazi zake zote kila mahali katika milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mhimidini bwana, kazi zake zote kila mahali katika milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mhimidini BWANA, enyi matendo yake yote, Mahali pote pa milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni Mwenyezi-Mungu enyi viumbe vyake vyote; msifuni popote mlipo katika milki yake. Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtukuzeni Bwana, matendo yake yote mahali po pote, anapotawala! Mtukuze Bwana, roho yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mhimidini BWANA, enyi matendo yake yote, Mahali pote pa milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumusifu Yawe, enyi viumbe vyake vyote; mumusifu popote munapokuwa katika utawala wake. Ee nafsi yangu, umusifu Yawe!