Psalms 103:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiye aniokoaye kutoka kifoni, na kunijalia rehema na fadhili zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
aukomboa uhai wako na kaburi, akuvika taji la upendo na huruma,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya fadhili na rehema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiye aniokoaye kutoka kifoni, na kunijalia rehema na fadhili zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
aukomboa uhai wako na kaburi, akuvika taji ya upendo na huruma,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
aukomboa uhai wako na kaburi, akuvika taji ya upendo na huruma,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji la fadhili na rehema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiye aniokoaye kutoka kifoni, na kunijalia rehema na fadhili zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akazikomboa roho zako kuzimuni, kisha akakufunga kilemba, ndio magawio ya upole.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya fadhili na rehema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ananiokoa kutoka kifo, na kunijalia wema na rehema zake.