Psalms 103:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiye anayeniridhisha mema maisha yangu yote, hata nabaki kijana mwenye nguvu kama tai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema, ili ujana wako uhuishwe kama wa tai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aushibisha mema uzee wako, Ujana wako ukarejezwa kama tai;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiye anayeniridhisha mema maisha yangu yote, hata nabaki kijana mwenye nguvu kama tai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema, ili ujana wako uhuishwe kama wa tai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
atosheleza mahitaji yako kwa vitu vyema, ili ujana wako uhuishwe kama wa tai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aushibisha mema uzee wako, Ujana wako ukarejezwa kama tai;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiye anayeniridhisha mema maisha yangu yote, hata nabaki kijana mwenye nguvu kama tai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amekushibisha mema, yawe urembo wako; ujana wako ukarudi kuwa mpya kama ule wa kozi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aushibisha mema uzee wako, Ujana wako ukarejezwa kama tai;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anajaza maisha yangu na raha, hata ninabaki kijana mwenye nguvu kama tai.