Psalms 103:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huhukumu kwa haki; huwajalia wanaodhulumiwa haki zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu hutenda haki, naye huwapa hukumu ya haki wote wanaodhulumiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki, Na hukumu kwa wote wanaoonewa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huhukumu kwa haki; huwajalia wanaodhulumiwa haki zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA hutenda haki, naye huwapa hukumu ya haki wote wanaoonewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana hutenda haki, naye huwapa hukumu ya haki wote wanaoonewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ndiye afanyaye mambo ya haki, Na hukumu kwa wote wanaoonewa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huhukumu kwa haki; huwajalia wanaodhulumiwa haki zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana hufanya yenye wongofu na kuwaamulia wote wakorofikao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ndiye afanyaye mambo ya haki, Na hukumu kwa wote wanaoonewa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anahukumu kwa haki; anawajalia wanaoteswa haki zao.